Local News

Citizen Radio Reporter Narrates How Her Aunt Used JUJU to Break Her Engagement

A former news reporter of Citizen Radio has shocked many with revelations of how her aunt put a hex of her. The woman, whose Facebook ID reads Mercy Katulo says she is currently recovering from her aunt’s juju.

Here is her narration.

“So mi nimetoka hizo familia za ukambani where witchcraft has been practiced tangu tuko wadogo. My grandma herself was a witch doctor but eventually she got saved na akawacha hizo stuff. Straight forward to my aunt she is mdogo was mamangu and had three kids but wakakosana na bwana yake akahepesha watoy akaenda nao mombasa akasaka job huko akaanza kufanya kazi kongowea sokoni kuuza ndizi. Eventually since my mama was not married pia ye aliamua kuishia Mombasa na akatuwacha na grandma.so mi nikasomea ocha hadi form 4 nikamaliza then joined mom who was then happily married and we had a small siz. My aunt didn’t like this. She didn’t like that my mom came to Mombasa later and got a hubby before her. I think ndio chanzo cha haya yote.

So nikajoin college hapa Mombasa Poly nikafanya mass com kisha bahati nzuri (ukiwa na mungu unakuwaga mtu wa bahati nzuri) so bahati nzuri nikapata attacho citizen radio as a news reporter. Watu walipenda reports zangu more so my editors Mercy Oburu na Young Muthomi, hope si vibaya kuwataja hapa. Now surprisingly my aunt used to call me every time akisikia report zangu kwa radio ama tv coz sometimes nilikuwa napata chance ya kufanya reports za TV. When my attacho iliisha my boyfriend and I (tulikuwa pamoja 6 months by then) we got engaged and moved in together Nairobi. Sasa, I had to tell my family the news and definitely my aunt who was always calling and texting me kunijulia hali tukawa mabeshte kiplan. My fiance now got me a job but kawaida job za huku kwetu za kuongana so he paid some money akasema atamalizia nikiwa karibu kuanza job since there was like a week before nianze. Since sisi madem tunapenda kuonekana responsible nikasema wacha nimsaidie kulipa hiyo pesa. Mimi huyo nikapigia my best auntie anikopeshe pesa…

Nataka mjue kitu moja wapenzi wasomaji (in dj afros voice) my mom is a very born again woman, my aunt since she mysteriously became rich after mtoto wake mmoja kufa mysteriously mamngu aliona vitu suspicious. Sisi sio matajiri lakini hatuko maskini katika jina la yesu. Lakini siku moja my aunt aliambia mom akachukue ma makochi kwako alikuwa ananunua mengine mpya. So mamangu akaendea akaja akapanga kwa nyumba. Wee… Kanyumba kakakaa modern juu makochi ni modern. Mimi sikuwa home by then nilikuwa Nairobi so nikaanza kusikia oooh…. Mamangu na bwanake wamekosana, ooh… Jana karibu mamangu auliwe na kisu majirani ndio walisaidia akatoroka… Ooh…. Bwanake anasema ataua watoto mamangu asiporudi blah blah blah….

SO MOM ALIOGOPA AKATOROKA. MI SINGEVUMILIA AT I SIBLINGS WANGU WAUAWE NIKAENDA NYUMBANI KUSIKIZA MZEE MBONA ANATAKA KUUA WATU THOUGH TULIKIWA HATUSIKIZANI TANGU AKUJE MAISHANI MWETU. THIS TIME MY MOM HAS MOVED OUT AND STARTED A NEW BUSINESS SOMEWHERE ELSE.

AKAHAMA KANISA JUU BWANA AMEANZA KUULIZA WATU WA CHOIR NA USHERS MOM AKO WAPI ALITOROKA NYUMBANI. WHEN I BORROWED THAT MONEY TO PAY FOR MY NEW JOB MY AUNT SEND ME FARE AKANIAMBIA NINE NICHUKUE HIYO DOUGH. MIMI HUYO KWA BUS NIKAFIKA MSA NIKAENDA HOME NIKASALIMIA NDUGU ZANGU KISHA SABABU SIKUTAKA MAMA AJUE NAOMBA PESA SIKUENDA KWAKE. MY AUNT WAS SO HAPPY TO SEE ME AND AFTER CHATTING AKANIITA BEDROOM TWENDE ANIPEE PESA.

(YEA SHE CALLED ME TO HER BEDROOM) AKANIPA NA AKABAKI HAPO MI NIKAENDA.KUMBE ALIBAKI AKIFANYA MAMBO TAKE. MIMI HUYO NITATUMIA MY GUY PESA ANILIPIE NA NIKAMWAMBIA NAJA THE FOLLOWING DAY. NILIPORUDI KWA NYUMBBA MY BROTHER CAME TO TALK TO ME AKANIAMBIA WALIKUWA WAKIAINGESHA VITI (YALE MAKOCHI) HUKO NDANI KUKATOKA CHUPA KIDOGO TRANSPARENT ILIKUWA NA DAMU NA MIFUPA ZIKAANGUKA. NIKAMUULIZA NANI MWENGINE ALIONA AKANIAMBIA BABA PEKEE. NIKAMUULIZA WALIPELEKA WAPI AKASEMA WALICHUKUA WAKATUPA KWA DUSTBIN.

MIMI NIKARUDI NAIROBI AND NOW I DIDN’T WANT THE JOB ANYMORE. I BECAME LAZY, I DIDN’T WANT ANY KIND OF JOB AT A KAMA NI GANI NIKIPEWA NILIKATAAA…..Y RELATIONSHIP BECAME A HUSTLE TOO. I REMEMBER HE CALLED HIS FAMILY TO NAIROBI TO INTRODUCE ME TO THEM LIKE 3 TIMES. KILA WAKATI ANAWAITA WAKIJA KWA AUNTIE YAKE (MOM AND SISTERS, NA BRO YAKE) WE START FIGHTING ANAWAAMBIA WARUDI. IT GOT TO A TIME I HE STARTED BEATING ME UP AND CALLING ME NAMES. HE EVEN COULD TELL ME I WILL NEVER GET A GUY LIKE HIM. I HAD ENOUGH AND PACKED THEN CAME BACK HOME.

BWANAKE MAMANGU ALIKUWA TAYARI ASHAMOVE OUT AKAWACHA WATOTO PEKE YAO SO I NOW BECAME RESPONSIBLE FOR THEM. MOM WAY ALWAYS OFF. AKIWASHA SIMU AKINIPIGIA ANAJUA VILE TUMEAMKA ANAZIMA MPAKA TENS KESHO. AFTER TWO WEEKS I REALISED I WAS PREGNANT . SO AFTER NIMEPIMA NIKAPATA NIKO NA BALL I HAD TO CALL MY MR TO BE AND HE WAS HAPPY, HE SEND ME SOME MONEY TO BUY SOME STUFF SINCE HE WAS COMING TO PICK ME UP TWENDE KWAO, I DON’T KNOW MAMAKE ALISEMA I GO SHE TAKE CARE OF ME.

NIGGA NEVER SHOWED UP, HE WASN’T PICKING MY CALLS AND NOT REPLYING MY TEXTS EITHER. SO I RELAXED AND TOLD MYSELF; ALL IS WELL. (THAT’S WHAT I SAY WHEN AM ABOUT TO CRY) AND I NEVER CRY, TRY IT TOO. SAY IT, BELIEVE IT. MIMBA IKAKUA MIEZI SITA BADO HAJAKUJA BUT AT THIS STAGE WE WE’RE COMMUNICATING JUST THAT I DIDN’T WANT TO ASK HIM AT I UMEPANGA AJE. HE HAS A VERY SWEET SISTER SHE USED HELP ME A LOT FINANCIALLY DURING THE PREGNANCY.

ACTUALLY TILL TODAY. ALL THESE TIME I WAS HAVING CRAZY DREAMS, NAOTA TUKIWA MAZISHI USHAGO NA MY AUNT IS THE ONLY PERSON NAONA AND AHE IA LAUGHING.HAO WATU WENGINE HAKUNA MWENYE NAONA SUR…MARA SIKU NYEMGINE NAOTA TUKO KWA HARUSI YANGU BUT WATU WANALIA,KUNA MIILI YA WATU WAMEKUFA KAMA ACCIDENT YA GARI WANABEBWA WAKIINGIZWA KWA AMBULANCE AND I STOOD THERE CRYING.I SAT DOWN AND EVALUATED THINGS AND REALISED THERE WAS A REASON MY AUNT WAS ALWAYS ON MY DREAMS. I DISTANCED MYSELF FROM HER, I CHANCED NUMBER NA WE NEVER TALKED AGAIN. I HAD MY BABY SEPTEMBER 2015 BUT TILL TODAY HER DAD NEVER SAW HER. ACTUALLY ALL HE TALKED ABOUT WAS, HOW IS KIM CAN I HAVE HER PICTURES, I MISS HER. NEVER ASKED HOW I WAS DOING, BUT HIS SISTER SECRETLY SENDS MONEY TO US. I GAVE UP ON THAT LOVE AND DECIDED TO TAKE CARE OF MY BABY.BUT ONE DAY BWANAKE MAMANGU CAME HOME KUTUONA AND HE LOOKED SAD.HE TOLD ME ITS TIME I WENT BACK TO WHERE I STRAYED BCZ HE SAW THE DISTRUCTION COMING TO ME,TEARS ROLLED DOWN MY CHEEKS.I HAD GONE THROUGH ENOUGH.

3 YEARS WITH NO JOB AND SO MUCH RESPONSIBILITY AND A BABY AND STILL THERE WAS MORE WAITING FOR ME? I GAVE UP HOME, I SAID LET HIA WILL BE DONE.I WENT ON MY KNEES AND AND CRIED TO HIM WITHOUT SAYING ANYTHING.I TOOK TWO DAYS OF PRAYER AND FASTING AND MY BABY GIRL IS STILL BREASTFEEDING BUT I DIDN’T CARE ANYMORE.I WANTED TO BE SPEARED THIS TIME JUST ONCE.

KUNA KANISA INAKUWAGA HAPA KARIBU KWETU MIMI HUYO ON A THURSDAY SAA NANE NIKAENDA MAOMBI.IT WAS TIME ,COUNT DOWN FOR THE DISTRUCTION TO BE SEND BACK TO WHOEVER HAD SEND IT. TULALENI HII STORY TUMALIZIE KESHO JAMANI TUNAENDA JOB. YEA…. I GOT A JOB.

Credits: mpasho.co.ke

Advertisements

0 comments on “Citizen Radio Reporter Narrates How Her Aunt Used JUJU to Break Her Engagement

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: